Categorias
Moçambique

MVUA YA KIMBUNGA “CHENGE ” YATAMATIKA LEO

MVUA YA KIMBUNGA “CHENGE ” YATAMATIKA LEO

MVUA YA KIMBUNGA “CHENGE ” YATAMATIKA  LEO

MVUA YA KIMBUNGA “CHENGE ” YATAMATIKA  LEO

#breakingnews #2gendahtvonline #tma #kimbungchenge
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kilichokuwa Kimbunga “CHENGE” katika katika maeneo ya pwani ya nchi yetu.

‎Kimbunga “CHENGE” kimepoteza nguvu yake na kusambaratika kabisa wakati kikikaribia ukanda wa pwani ya nchi yetu. Hata hivyo, mvua na mawingu yaliyokuwa yakiambatana na kimbunga hicho yamesambaa katika maeneo ya ukanda wa pwani hususan katika mikoa ya Lindi, Pwani, Dar es salaam na Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba na kusababisha vipindi vya mvua katika baadhi ya maeneo hayo. Kwa mfano hadi kufika saa 12 jioni ya leo, kituo cha hali ya hewa kilichopo uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es salaam kimeripoti mvua ya milimita 9.1 kwa kipindi cha saa 9 zilizopita. Vilevile katika kipindi hicho, kituo cha hali ya hewa kilichopo katika bandari ya Dar es Salaam kimeripoti mvua ya milimita 3.5.

Hashtags: #MVUA #KIMBUNGA #CHENGE #YATAMATIKA #LEO

Autor: UCE6CIkLwugZL43tLt61gtFA

Palavra Chave: meteorologia pemba

Categorias
Moçambique

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO LEO ALHAMIS.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO LEO ALHAMIS.

ALNOORTVONLINE# Tuskilize kupitia 93.3 Unguja na 92.9 Pemba. Hii ni Radio AL NOOR Mwangaza kwa Umma live Radio ni …

Hashtags: #UTABIRI #HALI #HEWA #KWA #SAA #ZIJAZO #LEO #ALHAMIS

Autor: UCcIvOODQwpJWac5xiQGdg5w

Palavra Chave: meteorologia pemba