HALI YA HEWA 15.08.2023

04/09/2026 · infomedia_tz

Descrição

Visiwa vya Unguja na Pemba, Mikoa ya Dar es salaam, Tanga na Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia) kunatarajiwa Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Palavra-chave: meteorologia pemba