TMA yatoa sababu za kuchelewa kunyesha kwa mvua za vuli

15/09/2026 · Azam TV

Descrição

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imefafanua sababu za kuchelewa kwa kunyesha Kwa mvua za vuli kwa baadhi ya maeneo huku wakiendelea kushauri walioko maeneo hatarishi kuchukua hatua pamoja na mamlaka husika kuanza kuchukua tahadhari ili madhara makubwa yasitokee.

Palavra-chave: meteorologia pemba

Tags: AzamTV · Azam TWO · Azam TV Habari · Habari · Azam TV App · Baruan Muhuza · Fatma Nyangasa · TMA · Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania