KIMBUNGA JOBO HAKIPO TENA TANZANIA
Descrição
--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#kimbungajobo#tma#taarifabilamipaka
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com
#kimbungajobo#tma#taarifabilamipaka
Palavra-chave: meteorologia pemba









































Comentários da comunidade
@hassanjuma7164 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
ALLAH AKBAR
@monicahnguta8225 YouTube · 26/04/2021 · 👍 1
Kuna Mungu mbinguni anayejibu maombi.ashukuriwe yeye ailindaye mipaka ya Afrika
@hajihaji1000 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu s.w lkn badala yake huko Jangwani kimeibuka Kimbunga DUBE!
@sharifaabdullah6825 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
Alhamdulilah mungu ni mwema ibariki tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mzalendowaasili1727 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
TANZANIA sio nchi ya mchezo mchezo viva TANZANIA
@husseinbakari7728 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
Yote ni tunavyomtegemea Mungu na kumuabudu ibasavyo
@husseinkonz5192 YouTube · 26/04/2021 · 👍 1
Alishindwa covid ijekua huyo jobo
@nishasalim2880 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
Kimbunga kimekimbilia baharini🏃♂️
@mishengoma2495 YouTube · 25/04/2021 · 👍 1
Tunashukuru Mungu sana kwa kutuepusha na kimbunga JOBO