DC ASIKITISHWA NA UZUSHI WA KIMBUNGA JOBO “HAKUNA KIMBUNGA MTWARA, VIDEO NI FEKI”

13/09/2026 · Millard Ayo

Descrição

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya amesema amesikitishwa na uzushi unaosambazwa ukionesha video hii ikidaiwa ni ya Kimbunga Jobo kimeikumba Mtwara“Sio ya leo, hakuna Kimbunga Mtwara, hali ni ya kawaida, kuna mawingu na mvua kiasi na sio upepo mkali kama inavyosemwa”

Palavra-chave: meteorologia pemba

Comentários da comunidade

@Jameskaguo YouTube · 24/04/2021

Kuna taarifa nyingine hazina umuhimu

@hannu87 YouTube · 24/04/2021

Hyo video kwel sio mtwara ni ya njee ya Africa asaaa but nimeusahau mjii

@kmy_njombe28 YouTube · 24/04/2021

Huu ndio ukweli juu ya mateso makali wanayopitia Korea kasikazini/ Ni utumwa huu. https://youtu.be/LpMUAlONPZ4