UTABIRI WA HALI YA HEWA 23.08.2023

05/09/2026 · TMAonline_TV

Descrição

Visiwa vya Unguja na Pemba, Mikoa ya Tanga, Dar es salaam na Pwani(ikijumuisha Visiwa vya Mafia) kunatarajiwa hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Palavra-chave: meteorologia pemba