UTABIRI WA HALI YA HEWA 22.06.2023
Descrição
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia Mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es Salaam pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Palavra-chave: meteorologia pemba









































Comentários
@amashandele3850 · 22/06/2023
asante sana ndugu mtangazaji