UTABIRI WA HALI YA HEWA 28.04.2023
Descrição
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Tanga, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Palavra-chave: meteorologia pemba








































