UTABIRI WA HALI YA HEWA 09 01 2023

04/09/2026 · TMAonline_TV

Descrição

09/01/2023 ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa katika maeneo
machache ya mikoa ya Dodoma, Singida, Manyara, Tanga, Dar es salaam na Pwani pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Palavra-chave: meteorologia pemba