HALI YA HEWA 06.07.2023

04/09/2026 · infomedia_tz

Descrição

TAHADHARI ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi
makubwa yanayozidi mita 2, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Palavra-chave: meteorologia pemba