TMA YAWATAKA WANANCHI KUJIANDA NA MVUA KUBWA KATIKA MIKOA 14 NCHINI

05/09/2026 · 2GENDAH ONLINE TV

Descrição

#breakingnews #2gendahtvonline #mvuakubwa #tma
Mvua kubwa inatarajiwa katika mikoa ya Rukwa, Njombe, Songwe, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Morogoro, Tanga, Dar es salaam, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Mafia, Unguja na Pemba. JIANDAE.

Palavra-chave: meteorologia pemba

Tags: #2gendahonlinetv · #MedanizaSiasa2021 · #RaisSamiaSuluhuHassan · #Michezo · #Chadema · #CCM · #Simbasc · #Yangasc · #MamelodSundows · #OrlandoPirates · #KaizerChiefs