Ngungunyane, mfalme wa mwisho wa Gaza

28/09/2026 · DW Kiswahili

Descrição

Mfalme Ngungunyane aliongoza ufalme wa Gaza ambao hata baada ya wakoloni kuligawa bara la Afrika, ufalme huo haukuguswa. Historia inaeleza kuwa alikuwa mwanadiplomasia makini aliyekuwa na uwezo wa kuwagonganisha wakoloni wenyewe kwa wenyewe.

Palavra-chave: ngungunhane

Tags: DW · Deutsche Welle · Kiswahili · Swahili

Comentários da comunidade

@azaniabantu YouTube · 31/03/2020

Nice telling history of my roots

@dlaminimoses6928 YouTube · 27/03/2021

dear can i get translation in swati or english, please