KIMBUNGA HIDAYA HIKI HAPA.YOTE UNAYOTAKIWA KUYAFAHAMU KUHUSU KIBUNGA HICHO.
Descrição
KIMBUNGA HIDAYA HIKI HAPA.YOTE UNAYOTAKIWA KUYAFAHAMU KUHUSU KIBUNGA HICHO.
Pwani ya Afrika Mashariki hususan Tanzania inatazamiwa kukumbwa na Kimbunga Hidaya ambacho kitasababisha mvua kubwa.
Mapema wiki hii Mamlaka ya hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitangaza kuwepo kwa mgandamizo mdogo wa hewa ambao ulitarajiwa kutawala na kusababisha mvua kubwa na upepo mkali katika mikoa mitano nchini humo ikiwa ni pamoja na Mtwara, Dar es Salaam, Lindi, maeneo ya Tanga, Morogoro, visiwa vya Pemba na Unguja pamoja na maeneo jirani.
Kimbunga Hidaya kilianza kujitengeza siku ya Jumatano kusini mwa Bahari ya Hindi kuelekea mashariki mwa Tanzania na kaskazini-mashariki mwa visiwa vya Komoro.
#focusnewstanzaniatv1 #hidayah

Palavra-chave: meteorologia pemba

Comentários da comunidade
@PhilomenaStephern YouTube · 04/05/2024
MAMLAKA IJIANDAE KWA UOKOAJI KAMA KUTAKUWA NA DALILI ZA HATARI.