HALI YA HEWA 03.06.2023

01/11/2026 · infomedia_tz

Descrição

Visiwa vya Unguja na Pemba, Mikoa ya Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia) kunatarajiwa Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

Palavra-chave: meteorologia pemba