Eduardo Mondlane: Kiongozi aliyeiunganisha Msumbiji

03/10/2026 · DW Kiswahili

Descrição

Eduardo Mondlane alikuwa na ndoto ya kupatikana Msumbiji iliyo huru na yenye umoja, bila ya vizuizi vya wakoloni wa Ureno. Licha ya kuuliwa, aliwacha urithi utakaokumbukwa daima

Palavra-chave: vida e obra de samora machel

Tags: DW · Deutsche Welle · Kiswahili · Swahili