Athari ya kimbunga Chido Msumbiji, Mayotte

01/11/2026 · BBC News Swahili

Descrição

Mamia ya watu wafariki huku kimbunga Chido kikipiga Msumbiji na Mayotte Ufaransa

Msumbiji imekumbwa na kimbunga kikali na kusababisha uharibifu mkubwa.

Kimbunga hicho kilipiga kwa kasi ya kilomita 40 (maili 25) kusini mwa mji wa kaskazini Pemba.

Mji wa Mayotte eneo la Bahari ya Hindi ya Ufaransa limeathirika vibaya na kimbunga hicho.

#bbcswahili #kimbunga #haliyahewa

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw

Palavra-chave: weather maputo

Tags: #BBCNewsSwahili · #bbcswahili · #kimbunga · #haliyahewa · #mabadilikotabianchi · #ufaransa · #msumbiji · #kimbungachido

Comentários da comunidade

@kimodomusic9760 YouTube · 20/12/2024

😢😢😢😢 hizi ni dalili za mwisho wa dunia