UTABIRI WA HALI YA HEWA 23.04.2023

02/09/2026 · TMAonline_TV

Descrição

ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Tanga, Lindi, Kigoma, Tabora na Katavi pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba. Miongoni mwa athari zinazoweza kujitokeza ni pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi.

Palavra-chave: meteorologia pemba

Comentários