UTABIRI WA HALI YA HEWA 20 03 2023
Descrição
ANGALIZO la mvua kubwa limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mara, Simiyu, Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Singida, Arusha, Manyara, Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe, Rukwa, Dar es Salaam, Pwani (ikihusisha visiwa vya Mafia), Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
Palavra-chave: meteorologia pemba








































