UTABIRI WA HALI YA HEWA 14.07.2023
Descrição
ANGALIZO la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi
makubwa yanayofikia mita 2, limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi (mikoa ya Lindi, Mtwara, Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Palavra-chave: meteorologia pemba