UTABIRI WA HALI YA HEWA 07.07.2023
Descrição
Mawimbi makubwa yanayofikia mita 2, yanatarajiwa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya kaskazini ya bahari ya Hindi (mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).
Palavra-chave: meteorologia pemba








































