TMA YATOA ANGALIZO LA MVUA KUBWA KATIKA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, SIMIYU, GEITA, MARA NA KAGERA

12/09/2026 · MwanaHALISI TV

Descrição

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa vipindi vya mvua kubwa vitakavyotokea katika maneno machache ya mkoa ya Mwanza, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita, Kagera, Arusha, Katavi na Kigoma

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Palavra-chave: meteorologia pemba