TMA YATOA ANGALIZO LA MVUA KUBWA KATIKA BAADHI YA MAENEO YA MIKOA YA TANGA, PWANI NA DAR ES SALAAM

07/09/2026 · MwanaHALISI TV

Descrição

Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa angalizo la uwepo wa vipindi vya mvua kubwa vitakavyotokea katika maneno machache ya mkoa wa Dar es Salaam, Tanga na Pwani vikiwemo visiwa vya Pemba na Unguja

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Palavra-chave: meteorologia pemba