TAHADHARI UKANDA WA PWANI

01/09/2026 · Daily News Digital

Descrição

TANZANIA: UKANDA wa Pwani wa bahari ya hindi umetakiwa kuchukua tahadhari kufuatia hali ya upepo uambao unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya KM 40 Kwa saa. Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka TMA, ametaja maeneo ambayo yatapata adha ya upepo huo kuwa ni Mkoa ya Tanga Pwani DSM, visiwa vya unguja na pemba ikijumuisha visiwa vya mafia pamoja na mikoa ya Lindi na Mtwara. Hali ya joto pia imeendelea kuutesa mkoa wa Kilimanjaro ambapo joto limefikia 36 kwa saa 24 zijazo ikifuatiwa na mkoa wa Morogoro ambao umefikia 35. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176... HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/ DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/ INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Palavra-chave: meteorologia pemba

Tags: ccm · ayo tv · millard ayo · ayotv · mtanzaniadigital · mwananchidigital · harmonize · tundulisu · wasafi tv · simba tv · azam tv · hellen shows · tbc online · haji manara · yanga sc · manchester united · liverpool · zuchu · clouds tv · kassim majaliwa · waziri mkuu · ikulu mawasiliano · flaviana matata · Maalim Seif · Corona · JPM · DK Magufuli · spika Ndugai · Mama Samia · Tulia Akson · Bungeni Dodoma · Diamond Platnumz · Harmonize · KTN · Tundulisu · Zitto Kabwe · Ali Kiba · Zuchu · CCM · Chadema · Samia · Suluhu · Uchaguzi

Comentários