SAMORA MACHEL: Rais Aliyetolewa UHAI Kwa Njama Kisa Mabeberu!

24/09/2026 · Global TV Online

Descrição

SAMORA MACHEL: Rais Aliyetolewa UHAI Kwa Njama Kisa Mabeberu!

Ukilitaja jina la Samora Machel wazalendo wote tunagonga cheers, washenzi wananuna kwasababu wanajua alivyowakaba, wakaishia kumtungua kwenye ndege na kumuua, mkewe akaomboleza kwa kuvaa nguo nyeusi kwa miaka mitano mfululizo.

Mwanaharakati huyu aliyezaliwa septemba 29, 1933 katika jimbo la Gaza nchini Msumbiji alikuwa mtoto wa mkulima tajiri wa Ng'ombe na mashamba lakini wazungu wakamfukarisha.

#SAMORAMACHEL

//www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Palavra-chave: história de samora machel

Tags: Samora Machel · Rais · Aliyewanyima · Mabeberu · Usingizi · Wakamtoa · Uhai · Wazalendo · Wanagonga · Cheers · Ananias Edgar · Denis Mpagaze · Global Tv · HISTORIA YA VIONGOZI WA AFRIKA · MSUMBIJI · FRELIMO · GLOBAL TV ONLINE · SIMULIZI

Comentários da comunidade

@enockmaro8915 YouTube · 19/04/2019 · 👍 607

Napenda historia za kiAfrica kama nawe pia like twenzao

@djatm1319 YouTube · 19/04/2019 · 👍 35

Napenda historia sana ....kwa ikitangazwa na Ananiaz....nakupenda sana kutoka Kenya

@edgersenyagwa3583 YouTube · 09/10/2020 · 👍 6

Daah Samola Machel alikua jembe Sana watamkumbuka daima.

@reaganpatrick3323 YouTube · 08/08/2019 · 👍 22

Mm nmzambia yani nakubali bro🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

@michimwana7469 YouTube · 13/06/2019 · 👍 24

Am a Kenyan n , I really loved ur voice n the wise sayings in it.

@mubaarakhadji9365 YouTube · 21/04/2019 · 👍 24

Mungu akufanyie wepec naipenda sana kazi yako kaka

@jmjcoast YouTube · 21/04/2019 · 👍 24

Very good information about Africans presidents. Keep up the good work and more videos please.

@theeerickson6592 YouTube · 12/07/2019 · 👍 10

im from Kenya i love your stories bro...keep educating us

@markohaule1513 YouTube · 09/12/2021

Thanks a lot how you have explained it to us.