MVUA KUBWA KUNYESHA , TMA YATOA TAHADHARI
Descrição
#breakingnews #mvua #2gendahtvonline #tma
TMA imesema hali hiyo itashuhudiwa kwenye baadhi ya maeneo ya mikoa hiyo kati ya leo hadi Jumanne ya Machi 11.
Mikoa iliyopewa angalizo ni Kigoma, Katavi, Tabora, Singida, Dodoma, Simiyu, Mara, Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza na Shinyanga.
Mingine ni Tanga, Morogoro, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Mtwara, Lindi, Rukwa, Mbeya, Iringa, Songwe, Njombe na Ruvuma pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.
"Kiwango cha athari zinazoweza kutokea ni wastani, baadhi ya makazi kuzungukwa na maji," imeandikwa kwenye taarifa hiyo.

Palavra-chave: meteorologia pemba

![KIZOMBA 2026 - Te Amo Bué / Baby i Love You Wanuna Wansati [mix kizomba] zouk musicas Dansa Dance](https://i.ytimg.com/vi/fslXgDGmqsA/hqdefault.jpg)

![Twenty Fingers - Coração Na Mesa [Official Video Music]](https://i.ytimg.com/vi/DfI6bA9Wz8I/maxresdefault.jpg)