MVUA KUBWA KUNYESHA KWA SIKU TANO | TMA YATOA TAHADHARI KUWEPO KWA MAFURIKO KWA MIKOA HII
Descrição
#MamlakayaHaliyaHewa#TMA#AtharizaMvua
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa mikoa ya dar ,Tanga ,Pwani ,Lindi kusini mwa mkoa wa morogoro na visiwa vya unguja na pemba kupata mvua kubwa ambazo zinaweza kuwa na athari kwa makazi na shughuli za kijamii na kiuchumi.
Baadhi ya athari walizotaja ni pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji pamoja na ucheleweshwaji wa baadhi ya shughuli za usafirishaji. ambapo mvua hizo zinatazamiwa kuwepo hadi Aprili 6, 2021

Palavra-chave: meteorologia pemba