MIKOA MINGI KUKUMBWA NA MAWINGU NA VIPINDI VYA JUA

03/09/2026 · CHANNEL ONE

Descrição

Hali ya hewa kwa saa 24 zijazo. Maeneo ya Visiwa vya unguja na Pemba, Morogoro, Tanga na Mafia kiwa ba mawingu kiasi na mvua na ngurumo Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara, Dodoma, Shinyanga, Geita, Mikoa ya Rukwa, Ruvuma, Mbeya, Njombe, Iringa, Songea kuwa na hali ya mawingu na vipindi vya jua Taarifa hii imetolewa na Mamlaka ya hali ya hewa TMA

Palavra-chave: meteorologia pemba