MIKOA 7 KUKUMBWA NA HALI MBAYA YA HEWA SIKU 5
Descrição
#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari kwa mikoa Saba nchini ambayo itakumbwa nanhali mbayabya hewa kwa siku Tano.
Taarifa ambayo umetolewa katika Utabiri wa kila siku imesema kuwa shughuli mbalimbali za kiuchumi zitaathirika ikiwemo uvuvi na usafirishai baharini.
Mikoa ambayo imetajwa kukumbwa na hali hiyo ambapo upepo unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya Km 40 kwa saa ni pamoja na maeneo yote ya ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi, visiwa vya Unguja na Pemba.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176...
HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/
DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Palavra-chave: meteorologia pemba

Comentários da comunidade
@UpendoKambey-m4f YouTube · 07/09/2026
No 😭