MENEJA WA NMB KANDA YA KATI AELEZA FURSA ZITOLEWAZO NA NMB /WATEJA WETU WASIHOFU WACHANGAMKIE FURSA.

15/09/2026 · Njaro Media

Descrição

NJARO TV ilizungumza na Meneja wa NMB kanda ya kati Bi. Janeth Shango ambapo alizungumzia fursa mbalimbali ambazo Benki ya NMB imeziweka kwa ajili ya wateja wao hususani kwa wanawake. Hivyo basi, amewasihi sana Watu wajitokeze kuchangamkia fursa hizo zinazotolewa na NMB.
Hata hivyo amezidi kuwasihi wanawake hususani wafanya biashara waweze kutunza fedha kwenye Benki NMB na sio kutunza nyumbani (kwenye Vibubu) hii ni kwa ajili ya usalama wa Fedha zao na kujiweka karibu na fursa zitolewazo na Benki ya NMB.

Ameyazungumza hayo siku ya #MwanamkeMwamba2024 iliyoandaliwa na CFM wakishirikiana na Mdhamini Mkuu ambaye ni Benki ya NMB iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Uliopo eneo la Area D jijini Dodoma

Hii ni NJARO TV #WakaliwaUpdates

Nikusihi tu Mtazamaji Usiache Ku- Subscribe Channel yetu ili uwe una pata Updates Mbalimbali kutoka Vyanzo Mbalimbali Tanzania

Palavra-chave: instituto nacional de meteorologia de moçambique