MAMLAKA YA HALI YA HEWA TMA YATANGAZA UTABIRI WA MVUA ZA MASIKA
Descrição
Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri Mamlaka ya Hali ya Hewa TMA na (Kaimu Mkurugenzi Mkuu), Dkt. Hamza Kabelwa akitangaza Msimu wa mvua za Masika ni mahususi kwa maeneo ya nyanda za juu kaskazini mashariki (Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro), pwani ya kaskazini (kaskazini mwa mkoa wa Morogoro, mikoa ya Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Tanga pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba), ukanda wa Ziwa Victoria (Mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Mara) pamoja na kaskazini mwa mkoa wa Kigoma.
Palavra-chave: meteorologia pemba








































