MAFURIKO YAUA WATU 11 MAREKANI, WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO...

11/09/2026 · Global TV Online

Descrição

MAFURIKO YAUA WATU 11 MAREKANI, WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO...

Watu 11 wamefariki dunia kutokana na mvua kubwa zinazonyesha katika jimbo la North Corolina huku wengine wakiwa hawajulikani mahali walipo hadi sasa.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Palavra-chave: meteorologia pemba

Tags: GLOBAL TV ONLINE · HABARI MPYA · MAREKANI MAFURIKO · USA · VOA · WATU 11 WAFARIKI USA · CAROLINA · MAFURIKO MAKUBWA USA · MAFURIKO YAUA WATU 11 MAREKANI · WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO...

Comentários da comunidade

@josephatraymond4902 YouTube · 14/11/2020 · 👍 1

Ingekuwa tz jmn jmn jpm angejikwaa kwa maneno mengi

@bakaryabdallahnyagaly5493 YouTube · 14/11/2020 · 👍 1

Alafu utakuta kuna watanzania MAMBURULA huwaga wanaongea UGORO UGORO TU yakitokea mafuriko tanzania wanaanza kulaumu serikali. Mafuriko kama yanatokea huwa yanatokea tu bila kujali ni wapi wala kuna nini!

@zakwani885 YouTube · 14/11/2020

hayo kila pahala yanatokea nikuomba M mungu awasaidie tu tusiseme maneno tuka kufuru tumkumbuke kama M mungu ni Mkubwa na ndie anae tunusuri kila kitu

@rehemalaizer7123 YouTube · 14/11/2020 · 👍 1

halafu watu wanasema miundo mbinu TZ mibaya😏😏

@isaacluvanda5022 YouTube · 14/11/2020

Wanachama Frani wanaojifanyaga wajuaji vihelehele wa marekani hiyo sio tz .in america

@salimamri9488 YouTube · 14/11/2020 · 👍 2

Ingekuwa bongo wangeanza kusema ona maendeleo yavitu wajinga sana wobongo