Maeneo kadhaa nchini yalishuhudia upepo mkali tangu jana

10/09/2026 · Citizen TV Kenya

Descrição

Upepo mkali ulioshuhudiwa jana ni ishara ya mvua zaidi katika kipindi hiki cha mvua ya vuli. Idara ya utabiri wa hali ya anga inasema kuwa, hakuna la kuhofia japo ikaonya kuwa mvua nyingi itashuhudiwa maeneo ya Pwani na magharibi na huenda ikasababisha mafuriko. Lakini Kama Kadzo Gunga anavyoarifu, mtu mmoja amehofiwa kufariki kutokana na athari za upepo huo kaunti ya Kirinyaga

Palavra-chave: meteorologia pemba

Tags: Upepo mkali nchini · masika · Mvua ya vuli

Comentários da comunidade

@apostlejackpraise2116 YouTube · 02/10/2019 · 👍 6

Sahi mtu akaeza piga tarumbeta akisema it's me Jesus i have come for you...hahhahaa, utajuwa hii Kenya hatuna sinners...hahahahaha...

@millicentayango3879 YouTube · 02/10/2019

Dhambi...ni nyingi duniani ....hii ni ishara yakuonyesha kwamba mungu ananguvu kushinda wanadamu ....mungu akikasirika na watu haki tutaangamia wengi.

@amaninaupendo.3539 YouTube · 02/10/2019 · 👍 1

Amen amen. Taharifa hii ya upepo na vumbi ilitoka kwenye maombi tareha 17/09/2019 saa 3 asubui ilionekana upande wa dunia giza. Hao watabiri wa hali hewa watulize matukio nasi tutawajulisha. Pole miji ya afrika mashariki. Mungu atusaidie sote. Amen.

@tabithawanderi6913 YouTube · 02/10/2019 · 👍 1

It's sandstorm n it's normal in gulf countries

@wairimuwakago1253 YouTube · 02/10/2019

Aty hilo wingu linaitwa kuomulobiviuos mi sihami kenya aki🇰🇪🇰🇪🚶‍♀️🚶‍♀️🙈🙈🙈

@mumblessed001 YouTube · 02/10/2019

Watu wakiona hio upepo watulie wah pole kwao

@millicentayango3879 YouTube · 02/10/2019

Hiyo....ni dalili ya kuonyesha watu waanze kutubu na kumrutia mungu