Kimbunga Freddy chauwa zaidi ya 100 Malawi na Msumbiji
Descrição
Kimbunga Freddy, chenye upepo wenye nguvu na mvua kubwa, kimeuwa watu zaidi ya 100 huko Malawi na Msumbiji, Jumatatu, Machi 13, 2023.
#kimbunga #cyclonefreddy #upepo #nguvu #mvua #vifo #msumbiji #malawi #voa #voaswahili
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Palavra-chave: weather quelimane