HALI YA HEWA 04.08.2023

05/09/2026 · infomedia_tz

Descrição

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua inatarajiwa visiwa vya Unguja na Pemba, Mikoa ya Tanga, Dar es salaam, Kaskazini mwa mkoa wa Morogoro na Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia) pamoja na sehemu za miinuko ya Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

Palavra-chave: meteorologia pemba